-
2 Wafalme 4:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Basi mmoja wao akaenda shambani kuchuma miholi, akapata mzabibu wa mwituni na kuchuma maboga ya mwituni kutoka kwenye mzabibu huo, akajaza vazi lake. Kisha akarudi na kuyakata vipandevipande ndani ya chungu cha mchuzi, bila kujua yalikuwa nini.
-