2 Wafalme 5:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Kisha mfalme wa Siria akasema: “Nenda sasa! Nami nitamtumia barua mfalme wa Israeli.” Basi akaenda, akaondoka akiwa amebeba talanta kumi* za fedha, vipande 6,000 vya dhahabu, na mavazi kumi.
5 Kisha mfalme wa Siria akasema: “Nenda sasa! Nami nitamtumia barua mfalme wa Israeli.” Basi akaenda, akaondoka akiwa amebeba talanta kumi* za fedha, vipande 6,000 vya dhahabu, na mavazi kumi.