-
2 Wafalme 5:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa hiyo Gehazi akamfuata mbio Naamani. Naamani alipoona mtu fulani akimfuata mbio, akashuka kutoka kwenye gari lake na kwenda kumpokea, akamuuliza: “Je, mambo yote yako sawa?”
-