2 Wafalme 6:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Jambo hilo likamkasirisha sana mfalme* wa Siria, kwa hiyo akawaita watumishi wake na kuwauliza: “Niambieni! Ni nani miongoni mwetu aliye upande wa mfalme wa Israeli?”
11 Jambo hilo likamkasirisha sana mfalme* wa Siria, kwa hiyo akawaita watumishi wake na kuwauliza: “Niambieni! Ni nani miongoni mwetu aliye upande wa mfalme wa Israeli?”