-
2 Wafalme 6:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Mfalme akasema: “Yehova asipokusaidia, nitakupa msaada kutoka wapi? Kutoka kwenye uwanja wa kupuria? Au kutoka katika shinikizo la divai au mafuta?”
-