-
2 Wafalme 6:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Elisha alikuwa ameketi nyumbani kwake pamoja na wazee. Mfalme akamtuma mtu amtangulie, lakini kabla ya mjumbe huyo kufika, Elisha akawaambia wazee hao: “Je, mmeona jinsi ambavyo mwana huyu wa muuaji+ amemtuma mtu aje kunikata kichwa? Mjumbe huyo atakapofika, fungeni mlango, nanyi muusukume ili asiingie. Je, bwana wake hayuko nyuma yake akimfuata?”
-