-
2 Wafalme 7:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Watu hao wenye ukoma walipokaribia kambi hiyo, wakaingia ndani ya hema moja na kuanza kula na kunywa. Wakachukua fedha, dhahabu, na mavazi kutoka humo, wakaenda na kuficha vitu hivyo. Kisha wakarudi na kuingia katika hema lingine, wakachukua vitu kutoka humo na kwenda kuvificha.
-