-
2 Wafalme 7:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mwishowe wakaambiana: “Jambo tunalofanya si sawa. Leo ni siku ya habari njema! Tukisitasita na kusubiri mpaka mapambazuko, tutastahili kuadhibiwa. Twendeni sasa tukaiambie nyumba ya mfalme habari hizi.”
-