-
2 Wafalme 7:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Ndipo mmoja wa watumishi wake akasema: “Tafadhali, waruhusu baadhi ya wanaume wachukue farasi watano kati ya wale waliobaki jijini. Hali itakayowapata itakuwa sawa na hali itakayoupata umati wa Waisraeli unaobaki hapa. Hali yao itakuwa sawa na ya umati wa Waisraeli ambao waliangamia. Basi na tuwatume waende tuone hali itakavyokuwa.”
-