-
2 Wafalme 7:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Wakachukua magari mawili pamoja na farasi, na mfalme akawatuma kwenye kambi ya Wasiria na kuwaambia: “Nendeni mwone hali ilivyo.”
-