-
2 Wafalme 7:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Wakawafuata mpaka Yordani, na mavazi na vyombo ambavyo Wasiria walikuwa wametupa walipokuwa wakikimbia kwa hofu vilikuwa vimetapakaa njia yote. Kisha wajumbe hao wakarudi na kumletea mfalme habari.
-