-
2 Wafalme 7:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Mfalme alimweka yule kamanda msaidizi awe msimamizi wa lango, kamanda ambaye mfalme alimtegemea, lakini watu wakamkanyaga-kanyaga langoni hadi akafa, kama yule mtu wa Mungu wa kweli alivyokuwa amemwambia mfalme alipokwenda kumwona.
-