-
2 Wafalme 8:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Hazaeli akachukua zawadi na kwenda kukutana naye, alichukua vitu vizuri vya kila aina kutoka Damasko, mizigo iliyoweza kubebwa na ngamia 40. Akaja na kusimama mbele yake na kumwambia: “Mwana wako, Ben-hadadi, mfalme wa Siria amenituma kwako nikuulize, ‘Je, nitapona ugonjwa huu?’”
-