-
2 Wafalme 8:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Basi Yehoramu akavuka kwenda Sairi na magari yake yote ya vita, akaondoka usiku na kuwashinda Waedomu waliokuwa wamemzingira yeye na makamanda wa magari ya vita; na wanajeshi wakakimbilia katika mahema yao.
-