-
2 Wafalme 9:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kisha Yehu akapanda gari lake na kwenda Yezreeli, kwa maana Yehoramu alikuwa amelala huko akiwa amejeruhiwa, na Mfalme Ahazia wa Yuda alikuwa ameshuka kwenda kumwona Yehoramu.
-