- 
	                        
            
            2 Wafalme 9:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        17 Mlinzi aliyekuwa amesimama juu ya mnara huko Yezreeli aliona kundi kubwa la wanaume wa Yehu likija. Mara moja akasema: “Ninaona kundi kubwa la wanaume.” Yehoramu akasema: “Chukua mpanda farasi mmoja umtume akutane nao, awaulize, ‘Je, mmekuja kwa amani?’” 
 
-