-
2 Wafalme 9:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Yehu akasema: “Mtupeni chini mwanamke huyo!” Kwa hiyo wakamtupa chini, na kiasi fulani cha damu yake kikatapakaa kwenye ukuta na farasi, kisha Yehu akamkanyaga-kanyaga.
-