2 Wafalme 9:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Baada ya hayo akaingia ndani, akala na kunywa. Halafu akasema: “Tafadhali, mchukueni mwanamke huyu aliyelaaniwa mkamzike. Kwa maana yeye ni binti ya mfalme.”+
34 Baada ya hayo akaingia ndani, akala na kunywa. Halafu akasema: “Tafadhali, mchukueni mwanamke huyu aliyelaaniwa mkamzike. Kwa maana yeye ni binti ya mfalme.”+