-
2 Wafalme 10:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Ndipo Yehu akawaandikia barua ya pili, akisema: “Ikiwa mko upande wangu na mko tayari kunitii, leteni vichwa vya wana wa bwana wenu na mje kwangu kesho wakati kama huu kule Yezreeli.”
Wana 70 wa mfalme walikuwa pamoja na wanaume mashuhuri wa jiji waliokuwa wakiwalea.
-