2 Wafalme 10:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Mwishowe wakaingia ndani ili kutoa dhabihu mbalimbali na dhabihu za kuteketezwa. Yehu alikuwa ameweka wanaume wake 80 nje na kuwaambia, “Yeyote kati ya wanaume ninaowatia mikononi mwenu akiponyoka, mtalipia uhai wake kwa uhai wenu.”*
24 Mwishowe wakaingia ndani ili kutoa dhabihu mbalimbali na dhabihu za kuteketezwa. Yehu alikuwa ameweka wanaume wake 80 nje na kuwaambia, “Yeyote kati ya wanaume ninaowatia mikononi mwenu akiponyoka, mtalipia uhai wake kwa uhai wenu.”*