2 Wafalme 11:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Mnapaswa kumzunguka mfalme pande zote, kila mmoja akiwa na silaha zake mikononi mwake. Yeyote atakayekaribia kikosi hicho atauawa. Mfuateni mfalme popote aendapo.”*
8 Mnapaswa kumzunguka mfalme pande zote, kila mmoja akiwa na silaha zake mikononi mwake. Yeyote atakayekaribia kikosi hicho atauawa. Mfuateni mfalme popote aendapo.”*