-
2 Wafalme 12:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 na pia waashi na watu waliokata mawe. Pia walinunua mbao na mawe yaliyochongwa kwa ajili ya kurekebisha sehemu zilizoharibika za nyumba ya Yehova na kutumia pesa hizo kulipia gharama nyingine zote za kurekebisha nyumba hiyo.
-