-
2 Wafalme 12:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Ndipo Mfalme Yehoashi wa Yuda akachukua matoleo yote matakatifu ambayo mababu zake Yehoshafati, Yehoramu, na Ahazia, wafalme wa Yuda, walikuwa wameyatakasa na pia matoleo yake mwenyewe matakatifu na dhahabu yote iliyokuwa katika hazina za nyumba ya Yehova na katika nyumba ya mfalme,* akampelekea Hazaeli mfalme wa Siria.+ Kwa hiyo Hazaeli akaondoka Yerusalemu.
-