2 Wafalme 13:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Kisha Yehoahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake huko Samaria;+ na Yehoashi mwanawe akawa mfalme baada yake.
9 Kisha Yehoahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake huko Samaria;+ na Yehoashi mwanawe akawa mfalme baada yake.