-
2 Wafalme 13:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Akaendelea kusema: “Chukua mishale,” naye akaichukua. Kisha Elisha akamwambia mfalme wa Israeli: “Piga ardhi.” Basi akapiga ardhi mara tatu halafu akaacha.
-