-
2 Wafalme 14:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Na mambo mengine katika historia ya Yehoashi, mambo aliyofanya na ukuu wake na jinsi alivyopigana na Mfalme Amazia wa Yuda, je, hayajaandikwa katika kitabu cha historia ya nyakati za wafalme wa Israeli?
-