2 Wafalme 15:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Shalumu mwana wa Yabeshi akawa mfalme katika mwaka wa 39 wa utawala wa Mfalme Uzia+ wa Yuda, naye alitawala kwa mwezi mmoja kamili huko Samaria.
13 Shalumu mwana wa Yabeshi akawa mfalme katika mwaka wa 39 wa utawala wa Mfalme Uzia+ wa Yuda, naye alitawala kwa mwezi mmoja kamili huko Samaria.