-
2 Wafalme 15:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Wakati huo ndipo Menahemu alipokuja kutoka Tirsa na kuliangamiza jiji la Tifsa na wote waliokuwa katika jiji hilo na katika eneo lake, kwa sababu hawakumfungulia malango ya jiji hilo. Aliliangamiza na kuwapasua tumbo wanawake wenye mimba wa jiji hilo.
-