-
2 Wafalme 15:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Katika mwaka wa 50 wa utawala wa Mfalme Azaria wa Yuda, Pekahia mwana wa Menahemu akawa mfalme wa Israeli huko Samaria, naye alitawala kwa miaka miwili.
-