2 Wafalme 16:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kwa hiyo Ahazi akatuma wajumbe kwa Mfalme Tiglath-pileseri+ wa Ashuru, akisema: “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Njoo uniokoe kutoka mikononi mwa mfalme wa Siria na kutoka mikononi mwa mfalme wa Israeli, wanaonishambulia.”
7 Kwa hiyo Ahazi akatuma wajumbe kwa Mfalme Tiglath-pileseri+ wa Ashuru, akisema: “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Njoo uniokoe kutoka mikononi mwa mfalme wa Siria na kutoka mikononi mwa mfalme wa Israeli, wanaonishambulia.”