2 Wafalme 16:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kuhani Uriya+ akajenga madhabahu+ kulingana na maagizo yote ambayo Mfalme Ahazi alikuwa ametuma kutoka Damasko. Kuhani Uriya akamaliza kuijenga kabla ya Mfalme Ahazi kurudi kutoka Damasko.
11 Kuhani Uriya+ akajenga madhabahu+ kulingana na maagizo yote ambayo Mfalme Ahazi alikuwa ametuma kutoka Damasko. Kuhani Uriya akamaliza kuijenga kabla ya Mfalme Ahazi kurudi kutoka Damasko.