Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mfalme Ahazi akamwamuru hivi kuhani Uriya:+ “Fukiza moshi wa dhabihu ya asubuhi kwenye madhabahu hiyo kubwa,+ pia toleo la nafaka la jioni,+ dhabihu ya kuteketezwa ya mfalme, na toleo lake la nafaka, na pia dhabihu za kuteketezwa, matoleo ya nafaka, na matoleo ya kinywaji ya watu wote. Unapaswa pia kuinyunyizia madhabahu hiyo damu yote ya dhabihu za kuteketezwa na damu yote ya dhabihu nyingine. Nitaamua nitakalofanya na madhabahu ya shaba.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki