- 
	                        
            
            2 Wafalme 16:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
18 Pia, alihamisha kutoka katika nyumba ya Yehova sehemu iliyofunikwa ambayo ilikuwa imejengwa katika nyumba hiyo kwa ajili ya Sabato na pia njia ya nje aliyotumia mfalme kuingia katika nyumba hiyo; alifanya hivyo kwa sababu ya mfalme wa Ashuru.
 
 -