-
1 Mambo ya Nyakati 1:50Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
50 Baal-hanani alipokufa, Hadadi alianza kutawala baada yake. Jiji lake liliitwa Pau, na mke wake aliitwa Mehetabeli binti ya Matredi, binti ya Mezahabu.
-