-
1 Mambo ya Nyakati 4:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Yabesi akamlilia Mungu wa Israeli, akisema: “Laiti ungenibariki na kupanua eneo langu na kuuruhusu mkono wako uwe pamoja nami na kuniokoa kutoka katika msiba, ili msiba huo usinidhuru!” Basi Mungu akatimiza ombi lake.
-