-
1 Mambo ya Nyakati 4:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 (Na mke wake Myahudi alimzaa Yeredi baba ya Gedori, Heberi baba ya Soko, na Yekuthieli baba ya Zanoa.) Hao ndio waliokuwa wana wa Bithia, binti ya Farao, aliyeolewa na Meredi.
-