-
1 Mambo ya Nyakati 9:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Walikuwa wakikesha usiku kucha katika vituo vyao kuzunguka nyumba yote ya Mungu wa kweli, kwa maana walishughulikia utumishi wa ulinzi na kutunza ufunguo, nao walikuwa wakifungua nyumba hiyo asubuhi baada ya asubuhi.
-