1 Mambo ya Nyakati 9:31 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 31 Na Matithia mmoja wa Walawi, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, Mkora, alipewa wadhifa wa kuaminiwa wa kusimamia vitu vilivyookwa kwenye vikaangio.+
31 Na Matithia mmoja wa Walawi, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Shalumu, Mkora, alipewa wadhifa wa kuaminiwa wa kusimamia vitu vilivyookwa kwenye vikaangio.+