1 Mambo ya Nyakati 10:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 mashujaa wote wakaondoka na kubeba maiti ya Sauli na maiti za wanawe. Wakawaleta Yabeshi na kuzika mifupa yao chini ya mti mkubwa kule Yabeshi,+ nao wakafunga kwa siku saba.
12 mashujaa wote wakaondoka na kubeba maiti ya Sauli na maiti za wanawe. Wakawaleta Yabeshi na kuzika mifupa yao chini ya mti mkubwa kule Yabeshi,+ nao wakafunga kwa siku saba.