1 Mambo ya Nyakati 11:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Kwa hiyo Daudi akasema: “Yeyote atakayekuwa wa kwanza kuwashambulia Wayebusi atakuwa kiongozi* na mkuu.” Basi Yoabu+ mwana wa Seruya akawa wa kwanza kupanda huko kuwashambulia, akawa kiongozi.
6 Kwa hiyo Daudi akasema: “Yeyote atakayekuwa wa kwanza kuwashambulia Wayebusi atakuwa kiongozi* na mkuu.” Basi Yoabu+ mwana wa Seruya akawa wa kwanza kupanda huko kuwashambulia, akawa kiongozi.