-
1 Mambo ya Nyakati 11:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Ndipo wale mashujaa watatu wakaingia kwa nguvu katika kambi ya Wafilisti, wakateka maji kutoka katika tangi hilo lililo karibu na lango la Bethlehemu na kumletea Daudi; lakini Daudi akakataa kuyanywa, akayamwaga mbele za Yehova.
-