8 Baadhi ya Wagadi walienda kujiunga na Daudi katika ngome kule nyikani;+ walikuwa mashujaa hodari, wanajeshi waliozoezwa kwa ajili ya vita, waliosimama tayari wakiwa na ngao kubwa na mkuki, nao walikuwa na nyuso kama za simba na walikimbia mbio sana kama swala milimani.