-
1 Mambo ya Nyakati 12:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Hao ndio wanaume waliovuka Yordani katika mwezi wa kwanza wakati kingo za mto huo zilipokuwa zimefurika, nao waliwafukuza watu wote waliokuwa wakiishi mabondeni, upande wa mashariki na wa magharibi.
-