-
1 Mambo ya Nyakati 12:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Pia majirani wao, na hata wale waliokuwa mbali kufikia Isakari, Zabuloni, na Naftali, walikuwa wakileta vyakula kwa punda, ngamia, nyumbu, na ng’ombe—walileta unga, keki za tini zilizoshinikizwa na keki za zabibu kavu, divai, mafuta, na ng’ombe na kondoo wengi sana, kwa maana watu walishangilia nchini Israeli.
-