-
1 Mambo ya Nyakati 17:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Basi na ufurahie kuibariki nyumba yangu mimi mtumishi wako, na idumu milele mbele zako, kwa sababu wewe, Ee Yehova, umeibariki, nayo imebarikiwa milele.”
-