-
1 Mambo ya Nyakati 19:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Lakini Wasiria waliwakimbia Waisraeli; Daudi akawaua Wasiria 7,000 walioendesha magari ya vita na wanajeshi 40,000 waliotembea kwa miguu, akamuua Shofaki mkuu wa jeshi.
-