1 Mambo ya Nyakati 21:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Basi Yoabu akampa Daudi idadi ya watu walioandikishwa. Wanaume wote wa Israeli waliojihami kwa mapanga walikuwa 1,100,000, na wanaume wa Yuda waliojihami kwa mapanga walikuwa 470,000.+ 1 Mambo ya Nyakati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 21:5 Mnara wa Mlinzi,7/15/1992, uku. 5
5 Basi Yoabu akampa Daudi idadi ya watu walioandikishwa. Wanaume wote wa Israeli waliojihami kwa mapanga walikuwa 1,100,000, na wanaume wa Yuda waliojihami kwa mapanga walikuwa 470,000.+