-
1 Mambo ya Nyakati 21:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Daudi alipopanda na kufika kwake, Ornani alitazama na kumwona Daudi, mara moja akatoka kwenye uwanja wa kupuria na kumwinamia Daudi kifudifudi.
-