1 Mambo ya Nyakati 22:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Lakini neno la Yehova lilinijia likisema, ‘Umemwaga damu nyingi sana, nawe umepigana vita vikubwa. Hutajenga nyumba kwa ajili ya jina langu,+ kwa maana umemwaga damu nyingi sana duniani mbele zangu.
8 Lakini neno la Yehova lilinijia likisema, ‘Umemwaga damu nyingi sana, nawe umepigana vita vikubwa. Hutajenga nyumba kwa ajili ya jina langu,+ kwa maana umemwaga damu nyingi sana duniani mbele zangu.