1 Mambo ya Nyakati 23:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Yahathi alikuwa kiongozi na wa pili alikuwa Ziza. Lakini kwa kuwa Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi, walihesabiwa kama ukoo* mmoja nao walipewa majukumu yaleyale.
11 Yahathi alikuwa kiongozi na wa pili alikuwa Ziza. Lakini kwa kuwa Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi, walihesabiwa kama ukoo* mmoja nao walipewa majukumu yaleyale.